Tumaini jipya elimu kuoanishwa Afrika Mashariki

Dar es Salaam. Wahitimu wa Kitanzania, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliana na changamoto ya ajira, sasa wanaweza kuzitafuta Kenya,Uganda au kwingineko Afrika Mashariki kutokana na kuwekwa mfumo wa pamoja wa mikopo na vigezo vya pamoja vya masomo. Vivyo hivyo, mwanafunzi aliye katikati ya muhula wa masomo Tanzania anaweza kuhamia chuo kikuu nchini Rwanda au…

Read More

Kauli ya mahakama shauri la mjane Alice kuhusu nyumba

Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, Dar es Salaam, imetoa taarifa kuhusu shauri la madai ya ardhi lililofunguliwa na mjane, Alice Haule, kuhusu mgogoro wa nyumba. Septemba 23, 2025 kupitia vyombo vya habari Alice alizungumzia kuhusu uwepo wa shauri hilo kwenye mahakama hiyo, baada ya nyumba yake kuvamiwa na watu waliotoa vitu nje…

Read More

Unatunzaje kitovu cha mtoto anapozaliwa?

Kitovu cha mtoto mchanga baada ya kuzaliwa ni sehemu nyeti inayohitaji uangalizi wa karibu, ili kuhakikisha mtoto anakua salama bila kupata maambukizi.  Baada ya kuzaliwa na kutenganishwa na kondo la nyuma la mama, kitovu hubaki kikiwa kimefungwa kwa kitambaa maalum au kipande cha plastiki na huchukua siku kadhaa kabla ya kukauka na kuanguka. Mkuu wa…

Read More

Tabia ndogo za afya zinazoweza kuokoa maisha yako

Dar es Salaam. Kila mwaka duniani kote, mamilioni ya watu hufariki kutokana na magonjwa yasiyoambukiza kama vile shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo na saratani. Shirika la Afya Duniani (WHO) linaeleza kuwa takribani watu milioni 41 hufariki kila mwaka kutokana na magonjwa haya, sawa na asilimia 74 ya vifo vyote duniani. Habari njema ni…

Read More

Vyoo vya kukaa raha, usasa lakini hatari

Katika enzi hii ya maendeleo ya kasi, ambapo miji inakua na teknolojia inachanja mbuga, vyoo vya kisasa vya kukaa vimeingia kwa kishindo katika nyumba nyingi za mijini. Vinang’aa, vinaonekana vya kuvutia, na vinatoa hali ya starehe isiyo na kifani. Kwa hakika ni alama ya maisha ya kisasa yenye hadhi. Hata hivyo, chini ya uso huo…

Read More

INEC yaahirisha uchaguzi Fuoni, sababu yatajwa

Dar es Salaam. Kutokana na kifo cha mgombea ubunge wa Fuoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeahirisha uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo hadi pale itakapopanga tarehe nyingine ya uteuzi wa wagombea. Abbas ambaye ni kaka mkubwa wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi,…

Read More

DK.SAMIA:ANAKWAMBIA ATALETA MAJI KWANI SIKU ZOTE ALIKUWA WAPI?

*Mwingine anasema atatoa elimu bure…kwani CCM hatujatoa ? Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Lindi MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema kwamba hakuna chama kitakachoweza kwa sasa hivi kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama kama Chama hicho. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 25,2025 alipokuwa akihutubia mamia ya wananchi…

Read More