MANISPAA YA KIBAHA YAJIZATITI KUONGEZA MAPATO YASAINI MKATABA UJENZI SOKO LA MNARANI
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA HALMASHAURI ya Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani imetiliana saini ya mikataba na kampuni ya M/S Dimetoclasa Real Hope Limited kwa ajili ujenzi wa mradi wa soko la Mnarani na ujenzi wa miundombinu ya barabara wenye thamani ya zaidi ya Sh.bilioni 19.8. Hafla hiyo imefanyika Septemba 25,2025 katika viwanja vya stendi ya Loliondo…