TRA YAWAHIMIZA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA KUFANYA MAKADIRIO NA KULIPA KODI KWA WAKATI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Shinyanga inawahimiza wafanyabiashara na wananchi wote kufanya makadirio ya kodi na kulipa kodi ya awamu ya kwanza kwa mwaka wa 2026 kabla au mnamo tarehe 31 Machi 2026. Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Bw. Emmanuel Maro amesema kuwa kulipa kodi kwa wakati ni wajibu wa kila raia…