Samia ahitimisha kampeni Lindi akiwahakikishia mradi wa gesi asilia
Lindi. Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amehitimisha kampeni zake za siku mbili mkoani Lindi, akiwaahidi wakazi wa mkoa huo kuanza kwa utekelezaji wa mradi wa gesi asilia. Mkoa huo unakuwa wa 15 kwa mgombea huyo kupitia akinadi ilani ya CCM na kuomba ridhaa ya urais kwa miaka mitano…