JUMA ALI KHATIBU: Mgombea anayepiga hesabu za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Nyakati za uchaguzi, wagombea hujitokeza kila mmoja akiwa na dhamira ya aina yake. Zanzibar, mgombea urais kwa tiketi ya Ada Tadea, Juma Ali Khatib, anasema kuwa Wazanzibari wanapaswa wamwelewe kwamba amejitosa kuwania urais ili aibuke nafasi ya pili na apate asilimia zitakazomwezesha kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais. Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kupitia…