Wasira ataja ishara ya ushindi kwa CCM uchaguzi mkuu

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema kuwa Watanzania wako tayari kwa uchaguzi na kwamba, idadi wanaoshiriki kwenye mikutano ya hadhara kusikiliza sera za wagombea ni ishara tosha. Ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 25, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni kunadi sera za chama hicho, ambapo alikuwa mgeni rasmi. Amesema mikutano…

Read More

ACT yaomboleza msiba wa Abass Mwinyi, yasitisha kampeni

Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimesitisha mkutano wa hadhara na ratiba zingine za kampeni zilizopangwa kufanyika leo Alhamisi Septemba 25, 2025 ili kuomboleza msiba wa Abass Ali Mwinyi. Abass ambaye ni kaka mkubwa wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amefariki dunia leo Septemba 25 katika hospitali ya Lumumba mjini Unguja na anatarajiwa kuzikwa kesho…

Read More

Meridian Bonanza Imekuja Kuitikisa Dunia ya Kubashiri

MERIDIANBET imezindua Meridian Bonanza kwa kishindo kikubwa, mchezo wa kubashiri wa kisasa unaovunja mipaka ya burudani na ushindi. Ukiwa umeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu, Bonanza humweka mchezaji katikati ya tukio, ambapo kila mzunguko hujaa msisimko na matarajio ya ushindi wa kweli. Tofauti na michezo ya kawaida ya kubashiri, Meridian Bonanza inampa mchezaji udhibiti…

Read More

Europa Na Mitanange Ya Kihistoria Usiku Wa Leo

MASHABIKI wa soka duniani leo wanatazamiwa kushuhudia burudani ya hali ya juu katika michuano ya Europa League msimu wa 2025/26, huku viwanja mbalimbali barani Ulaya vikifurika kwa shamrashamra za mechi kali. Timu mahiri zinachuana kwa heshima, pointi na historia, na kwa wale wanaojua kupiga hesabu za ushindi, Meridianbet imeweka odds kubwa na bonanza la kasino…

Read More