BANDA LA DAWASA LAWAVUTIA WENGI SIKU YA WAHANDISI

Wananchi mbalimbali wamejitokeza kwenye banda la maonyesho la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika maadhimisho ya siku ya Wahandisi Kitaifa yanayoendelea ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Katika Banda la DAWASA wadau wanaojitokeza kupata fursa ya kupata elimu mbalimbali za Mamlaka ikiwemo elimu ya huduma za maji,…

Read More

Rais Mwinyi alivyowasili Unguja baada ya msiba wa kaka yake

Pemba. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameahirisha shughuli zake za kiserikali huko Pemba kutokana na taarifa za kifo cha kaka yake, Abbas Ali Mwinyi, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Lumumba huko Unguja. Abbas ambaye alikuwa mbunge aliyemaliza muda wake na mgombea ubunge katika jimbo la Fuoni, amefariki dunia leo Septemba 25, 2025 wakati akipatiwa…

Read More

MAKINIKIA TANZIA: KAPTENI ABBAS MWINYI KUZIKWA KESHO UNGUJA, RAIS MWINYI ASITISHA ZIARA YAKE YA KAMPENI KISIWANI PEMBA

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia CCM, amewasili Unguja akitokea Pemba kufuatia msiba mzito wa kaka yake, Mhe. Kapteni Abbas Ali Mwinyi, aliyefariki dunia leo tarehe 25 Septemba 2025 katika Hospitali ya Lumumba, Unguja. Marehemu Kapteni…

Read More

HOROHORO JELA MAISHA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Na Mwandishi wetu, Michuzi Tv MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemuhukumu Hemed Mrisho maarufu “Horohoro” kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46. Aidha, Mahakama imeamuru dawa hizo za kulevya zilizokamatwa ziteketezwe na gari lililotumika…

Read More

MUHIMBILI YAKANUSHA KUWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI 200

 :::: Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa haina fedha za kuwalipa. Taarifa iliyotolewa na hospitali hiyo imesema hadi kufikia Septemba 25, 2025, ina jumla ya wafanyakazi 4,326 ambapo wenye mikataba ya muda mfupi ni 251. “Tangu Januari hadi Septemba 25, 2025, Hospitali imepokea wafanyakazi wa ajira…

Read More

WAFANYABIASHARA WA MADINI WAHIMIZWA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI

GEITA Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Geita Bi. Eva Ikula amewatakawafanyabiashara wa madini mkoani humo kuzingatia matumizi ya vipimo sahihikatika biashara yao ili kuhakikisha kunakuwa na usawa kwa pande zotezinazohusika na kuepusha upande wowote kupunjika. Ametoa wito huo Septemba 25, 2025 alipozungumza na waandishi wa habarikatika maonesho ya kimataifa ya teknolojia ya…

Read More