RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI KAMPENI LUGOBA, AAHIDI MAENDELEO JUMUISHI NA USHIRIKIANO WA DHATI
📌Bagamoyo, Pwani 24 Septemba 2025: 🆕Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, ameshiriki mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika katika kata ya Lugoba, wilayani Bagamoyo, ambapo alipokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa kutoka kwa wananchi wa eneo hilo. Katika mkutano huo uliojaa shamrashamra, Mheshimiwa Ridhiwani aliungana na Diwani wa…