ELIMU YA KODI MLANGO KWA MLANGO YAWA KIVUTIO MOROGORO

Morogoro, Baadhi ya Walipakodi mkoani Morogoro wameeleza kuvutiwa na elimu ya kodi mlango kwa mlango inayotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kueleza namna linavyowasaidia kutatua changamoto zinazowakabili wakiwa katika maeneo yao ya biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti walipotembelewa na timu ya kutoa elimu ya kodi mlango kwa mlango mkoani morogoro iliyongozwa na Meneja…

Read More

Zitto aendelea kutangaza neema Kigoma

Kigoma. Mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo, mojawapo ya kipaumbele chake cha awali kitakuwa kuboresha miundombinu ya masoko ya jioni yaliyopo katika Kata ya Buhanda, hususan masoko ya Mwansenga na Mgeo. Akizungumza leo Jumatano, Septamba 24, 2025 kwenye mkutano wa…

Read More

Wanafunzi msingi wapewa elimu ya usalama barabarani

Dodoma. Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mnadani iliyopo Jijini Dodoma wamepewa elimu ya usalama barabarani ili kujilinda na ajali wakati wa kwenda shuleni na kurudi nyumbani. ‎‎Aidha, wanafunzi hao wamefundishwa  alama muhimu za kuvuka barabara kwa usalama ili wasigongwe na magari kutokana na shule yao kupakana na barabara kuu ya kwenda Wilayani Kondoa. ‎‎Wakizungumza…

Read More

UDP kukomalia kilimo cha umwagiliaji ikishinda uchaguzi mkuu

Siha. Mgombea Urais kupitia Chama cha UDP, Saumu Rashidi ametangaza mambo matano ambayo anakwenda kushughulika nayo pindi atakapopata ridhaa ya wananchi ya kuwa kiongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Miongoni mwa mambo anayopigania mgombea huyo kipaumbele cha kwanza ni kilimo cha umwagiliaji, viwanda, afya, elimu pamoja na maji. Saumu amesema leo Jumatano Septemba 24,…

Read More

Othman aahidi kutoa haki bila kuangalia itikadi kisiasa

Unguja. Mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema atakapochaguliwa kuiongoza Zanzibar, Serikali yake haitatoa huduma kwa kuangalia itikadi za kisiasa. Sambamba na hilo, amesisitiza kusimamia ardhi kuwa rasilimali inayomilikiwa na mwananchi badala ya Serikali na wananchi ndio watakaokuwa na mamlaka ya kuikodisha, huku Serikali ikipokea kodi na kutoa mwongozo unaosimamia. Othman…

Read More