Raia wa China aomba kubadilishiwa mahabusu, Mahakama yamjibu

Dar es Salaam. Raia wa China, Li Hao, anayekabiliwa na mashtaka ya kujipatia Sh752 milioni kwa njia ya udanganyifu, ameiomba Mahakama imbadilishie mahabusu ya Keko na impeleke Segerea ili iwe rahisi kwake kupata mawasiliano kutoka kwa raia wenzake. Hao, anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Sh752 milioni kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha kiasi…

Read More

VIDEO: Sura mpya sakata la uvamizi nyumba ya mjane

Dar es Salaam. Wanasheria wa pande mbili katika mvutano wa umiliki wa nyumba iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, wamezungumzia undani wa mgogoro huo uliosababisha mali za mjane, Alice Haule na wapangaji wake kutolewa nje kwa nguvu. Alice aliondolewa kwenye nyumba jana Septemba 23, 2025, huku waliohusika katika tukio hilo wakitumia nguvu, wakihusika mabaunsa waliowabeba juujuu…

Read More

Sura mpya sakata la uvamizi nyumba ya mjane

Dar es Salaam. Wanasheria wa pande mbili katika mvutano wa umiliki wa nyumba iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, wamezungumzia undani wa mgogoro huo uliosababisha mali za mjane, Alice Haule na wapangaji wake kutolewa nje kwa nguvu. Alice aliondolewa kwenye nyumba jana Septemba 23, 2025, huku waliohusika katika tukio hilo wakitumia nguvu, wakihusika mabaunsa waliowabeba juujuu…

Read More

Madaktari bingwa watakiwa kuwaachia ujuzi waliowakuta Njombe

Njombe. Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, Judica Omary amewataka madaktari bingwa waliofika mkoani humo kutoa huduma za kibingwa, kuwapa ujuzi madaktari wa eneo husika ili uwe msaada endelevu. Zaidi ya madaktari bingwa 36 wanaotibu  magonjwa mbalimbali wamefika mkoani Njombe kwa ajili ya kutibu wagonjwa mbalimbali, ambapo wametawanywa katika halmashauri zote za sita za mkoa huo….

Read More

Dk Mwinyi aahidi kuondoa utitiri wa kodi, kupanua wigo wa mikopo

Pemba. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unaotolewa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA), watapata endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar. Pia, amesema watapunguza utitiri wa kodi ili waweze kufanya biashara zao kwa tija. Kauli hiyo ameitoa leo Septemba 24, 2025…

Read More

Takukuru kushirikiana na FIU, kuchunguza utakatishaji fedha

Dodoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Kitengo cha Kudhibiti fedha haramu (FIU) wametiliana saini mkataba wa kubadilishana taarifa nyeti. Tukio hilo limefanyika ofisi za Takukuru makao makuu Dodoma leo Jumatano Septemba 24, 2025 mkataba ukitajwa kuwa unakwenda kumaliza mapungufu ya kiuchunguzi na muda unaotumika hasa kwenye uchunguzi na utakatishaji fedha. Mkurugenzi…

Read More