Serikali yajibu matamko ya EU, Marekani na mashirika ya kimataifa
Dar es Salaam. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025. Wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025…