Watatu walioshtakiwa kumuua bodaboda, wahukumiwa kunyongwa
Arusha. Watuhumiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa mauaji ya dereva bodaboda, Shaban Mwalile, wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Mwenzao mmoja aliyekuwa ameshtakiwa nao, alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kukiri kosa la kusaidia kuficha taarifa za mauaji hayo, chini ya kifungu cha 213 cha kanuni ya adhabu. Washtakiwa waliohukumiwa kunyongwa ni…