REA YASAMBAZA MAJIKO NA MITUNGI YA GESI KILO 15 KWA JESHI LA MAGEREZA MKOANI SHINYANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) tarehe 24 Septemba, 2025 imesambaza kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza 221 mkoa wa Shinyanga majiko ya gesi ya sahani (2) na mitungi ya kilo 15 kwa ajili ya Maafisa na Watumishi wa Jeshi hilo huku wito ukitolewa wa kuwataka wawe mabalozi wa nishati safi kwa mkoa huo. Katika hafla…