Kama Haoni Umuhimu Wako, Muombee Aishi Miaka Mingi! – Global Publishers
Last updated Sep 23, 2025 JUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri, binadamu unahitaji mahusiano mazuri na binadamu wenzako. Iwe ni rafiki wa kawaida na hata mchumba wako, mnapokuwa kwenye mahusiano mazuri ndipo utakapoona raha ya dunia. Tofauti na hapo, dunia…