Kombe la Carabao Larejea kwa Kishindo Jumanne Hii
WIKI hii inafungua pazia la raundi ya tatu ya michuano ya Carabao Cup, ambapo miamba ya soka barani Ulaya wanakutana uso kwa uso kutafuta nafasi ya kusonga mbele. Mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu, huku Meridianbet ikiwapa nafasi ya kipekee ya kujishindia fedha kupitia odds kubwa zinazopatikana leo. Katika dimba la Sincil…