Zamu ya Mtwara kampeni za Samia leo

Mtwara. Baada ya kufanya kampeni katika mikoa 13, mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuingia katika Mkoa wa Mtwara kunadi sera za chama hicho akiomba ridhaa ya kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Tanzania. Tangu chama hicho kizindue kampeni zake za uchaguzi Agosti 28, 2025 jijini Dar es…

Read More

Vijana wabadili maganda ya matunda kuwa mkaa mbadala

Shinyanga. Ripoti ya mwaka 2024 inaonyesha kuwa matumizi ya mkaa mbadala nchini Tanzania yanaendelea kukua kwa kasi, ambapo takribani tani 45,000 ziliripotiwa kutumika ndani ya mwaka huo. Zaidi ya kaya 500,000 zimeanza kutumia nishati hiyo, jambo linaloashiria ongezeko la uelewa na kupokea kwa teknolojia mbadala ya nishati. Hata hivyo, bado zaidi ya asilimia 85 ya…

Read More

Chadema kugharamia elimu watoto wa marehemu Nyalusi

‎Iringa. Katika hatua inayoonyesha mshikamano wa kijamii na kisiasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeamua kugharamia masomo ya watoto wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini, marehemu Frank Nyalusi. Akizungumza leo Jumatatu, Septemba 22, 2025, katika ofisi za chama hicho zilizopo Veta Manispaa ya Iringa, Katibu wa Chadema Kanda ya Serengeti, Jackson…

Read More

MAJIKO BANIFU TEKNOLOJIA YA KISASA INAYOTUMIA MKAA KIDOGO

 ::::::::: Imeelezwa kuwa majiko banifu yanayotolewa kwa bei ya ruzuku na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ni majiko yanayotumia kiasi kidogo cha mkaa kulinganisha na majiko mengine ya mkaa.  Hayo yamebainishwa na Wataalam kutoka REA wanaoendelea kutoa elimu kwa wananchi katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya Dkt….

Read More