Kwa Nini Supu ya Kongoro Ni Maarufu? Hizi Ndizo Sababu – Global Publishers
Last updated Sep 22, 2025 Supu ya kongoro ni moja ya vyakula vinavyopendwa sana barani Afrika, hususan Tanzania, ambapo mara nyingi huliwa hasa asubuhi au baada ya shughuli nzito. Licha ya ladha yake tamu, supu hii pia imejipatia umaarufu kwa sifa zake kiafya na madai ya kuongeza nguvu za kiume. Kwa…