Polisi yawachia 38 wa Chadema Musoma, yenyewe yasema…
Musoma. Watu 38 ambao miongoni mwao walikuwepo viongozi, makada na wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wanashikiliwa na Polisi mkoani Mara, kwa madai ya kufanya vurugu na kuzua taharuki mjini Musoma wameachiwa kwa dhamana. Watu hao akiwamo Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Pamela Massay walikamatwa mjini Musoma jana Jumapili, Mei 8,…