Jaji mstaafu, mawakili walinyooshea kidole Jeshi la Polisi

Dar es Salaam. Siku chache baada ya Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Robert Makaramba kukosoa kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kumshambulia wakili Deogratius Mahinyila katika Mahakama Kuu ya Tanzania, mawakili wameeleza kwamba kitendo hicho ni kuingilia uhuru wa Mahakama. Katika tukio hilo la Septemba 15, 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa…

Read More

CCM Mjini Magharibi yaahidi kuandika historia

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini Magharibi, Talib Ali Talib amesema mwaka huu utakuwa wa kihistoria kwa sababu utashuhudia kumalizika kwa upinzani Zanzibar, hatua itakayosaidia kuharakisha maendeleo ya nchi. Akizungumza leo Jumapili Septemba 21, 2025, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Jimbo la Kwahani, Talib amesema jimbo hilo litakuwa kitovu cha…

Read More

Chaumma kuja na viwanda vya nyama, kurasimisha ufugaji

Arusha. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimeahidi kurasimisha sekta ya ufugaji, kuanzisha viwanda vya kuchakata nyama sambamba na kuwapatia wafugaji na wakulima ardhi mkoani Arusha. Katika hilo, chama hicho kimewatahadharisha wale wote wanaohodhi ardhi kikisema kikiingia madarakani kitawapatia ardhi hiyo wenye uhitaji. Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 21, 2025na mgombea mwenza wa urais, Devota…

Read More

MIGOGORO VITUO VYA DALADALA: Historia inayojirudia Temeke

Dar es Salaam. Hatua ya Serikali kuvunja kituo cha daladala cha Kwamama Kibonge, kilichopo eneo la Buza jijini Dar es Salaam imeendelea kuzua mvutano mkubwa kati ya wananchi na mamlaka husika. Wananchi, madereva na wafanyabiashara wadogo waliozungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti wanasema, uamuzi huo umewaongezea gharama na usumbufu, huku Serikali ikisisitiza kuwa, lengo ni…

Read More

TCB na Tiseza kuwezesha wawekezaji huduma za kifedha

Dar es Salaam. Wakati idadi ya mitaji na miradi inayosajiliwa nchini ikiongezeka kila siku, wawekezaji wametafutiwa namna ya kupata huduma za kifedha ili kurahisisha utekelezaji wa miradi hiyo. Hiyo ni baada ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza)  kuweka saini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yanayolenga…

Read More

Othman aahidi kurejesha ardhi Iliyopokwa wananchi

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT – Wazalendo, Othman Masoud Othman ameahidi kuirejesha ardhi yote iliyokwapuliwa kwa wananchi wa Wazanziba kinyume cha utaratibu. Amesisitiza kuirejesha ardhi hiyo akilenga itumike katika masuala mbalimbali yakiwemo ya maendeleo, akisema tangu ashike wadhifa wa Umakamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, amekuwa akipokea malalamiko…

Read More