DK.NCHIMBI AMPA SALAMU ZA USHINDI WA KISHINDO DK.SAMIA BAADA YA KUPITA MIKOA 11 KUOMBA KURA KWA WANANCHI
*Ampongeza kwa uwezo wake wa kutafuta na kusimamia vizuri mgawanyo wa rasilimali fedha *Asema heshima ya kumfanya kuwa msaidizi wake ni heshima ya wana Ruvuma wote. Na Said Mwishehe,Michuzi TV MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema katika mikoa 11 ambayo tayari amefanya mikutano ya kampeni wananchi wameshasema…