WASHINDI WAWILI WA MNADA WA PIKU WAKABIDHIWA ZAWADI

:::::::::: JUKWAA la kidijitali la PIKU Afrika, linaloendesha minada ya kipekee kupitia mtandao, limetangaza na kukabidhi zawadi kwa washindi wawili wa awamu ya nne ya promosheni yake ya minada ya kidijitali. Katika hafla hiyo, washindi wawili bora waliibuka na zawadi mbalimbali kama ifuatavyo: Mshindi wa kwanza, Hamimu Madenge, Meneja wa Super Market ya Viva iliyopo…

Read More

TLS yaazimia mambo 10 kumtetea mwenzao, polisi yaonya

Dar/Mikoani. Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeamua mambo 10 ya kutekelezwa na wanachama wake, ikiwamo kutokupokea kesi za msaada wa kisheria kutoka mahakamani hadi hatua za kisheria zitakapochukuliwa dhidi ya waliohusika na shambulio dhidi ya Wakili Deo Mahinyila. Vilevile, TLS kupitia Baraza la Uongozi imetakiwa kupanga na kutangaza siku ya maandamano ya amani ya…

Read More

BULALA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KWIMBA KWA NDEREMO NA VIFIJO VYA KIHISTORIA

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Kwimba zimeacha alama yankudumu baada vya kuzinduliwa kwa nguvu na hamasa kubwa atika Kata ya Hungumalwa, ambapo wananchi zaidi ya 7,000 walihudhuria mkutano wa  Katika uzinduzi huo wa kihistoria, kijana Cosmas Bulala alitambulishwa rasmi kama  kama Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kwimba huku comrade Shija Malando akitambulishwa rasmi kuwa…

Read More

Othman ataja mbinu za kuwawezesha wananchi

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman ameeleza namna Serikali itakayoundwa na chama hicho, itakavyowawezesha Wazanzibari kujikwamua kiuchumi. Amesema ACT-Wazalendo, ina mipango lukuki ya kuwawezesha Wazanzibari ikiwemo kuwasaidia wananchi wenye kipato duni au wasiokuwa na njia ya kujipatia kipato. “Hawa ndio wale waliokuwa wamekaa tu au kugalagala bila…

Read More

Mwanafunzi aliyeuawa, mwili kuchomwa Mbeya azikwa

Mbeya. Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mabula, aliyeuawa kikatili kisha kuchomwa moto, umezikwa, huku waombolezaji wakipaza sauti kukemea tukio hilo, wakitaka wahusika wapatikane na kuchukuliwa hatua za kisheria. Maziko yamefanyika leo, Septemba 20, 2025, katika Makaburi ya Iwambi, mkoani Mbeya. Shyrose (21) alikutwa ameuawa, kisha mwili kuchomwa moto…

Read More