Zitto aahidi kupigania meli mpya, maisha mapya Kigoma

Kigoma. Mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa iwapo wananchi wa mji huo watamrudisha tena bungeni, atahakikisha mradi mkubwa wa ujenzi wa meli na chelezo wenye thamani ya zaidi ya Sh600 bilioni unakamilika kwa wakati na kwa ubora unaostahili. Akihutubia maelfu ya wananchi leo, Jumamosi, Septemba 20, 2025, katika…

Read More

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NI FURSA MPYA YA VIJANA KUINUKA

Na Pamela Mollel, Arusha. Vijana nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji katika ufugaji wa kuku wa kienyeji, kwa kuwa ni biashara yenye faida kubwa na soko pana linalokua kila siku. Akizungumza na vijana waliomtembelea katika soko la Morombo jijini Arusha, mjasiriamali maarufu wa kuku, Mudy Musa, alisema ufugaji wa kuku wa kienyeji ni miongoni mwa…

Read More

DK.SAMIA ASISITIZA UCHAGUZI KUFANYIKA KWA AMANI NA UTULIVU, WANANCHI WAJITOKEZE KUPIGA KURA OKTOBA 29

 Na Said Mwishehe,Michuzi TV MGOMBEA Urais kwa tiketi ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupigakura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika  Oktoba 29,2025 na kwamba hakutakuwa na vurugu kwani vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kulinda amani. Akihutubia maelfu ya wananchi wa Visiwa Zanzibar leo Septemba 20,2025…

Read More

Samia atoa msimamo akinadi sera zake Pemba

Pemba. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendelea kusimamia amani na utulivu, huku akiwataka Watanzania kujitokeza bila woga Oktoba 29, 2025 kupiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani. Amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali imejitahidi kusimamia utulivu wa kisiasa, usalama na amani…

Read More