Serikali Inatambua Kazi Nzuri ya OSHA Nchini – Global Publishers
Last updated Sep 20, 2025 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ya kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya mwaka 2003 ambapo amewata waajiri kuitekeleza sheria hiyo ili kukabiliana na magonjwa na…