Mgombea ubunge Chaani kuondosha uhaba wa chakula
Unguja. Mgombea ubunge wa Jimbo la Chaani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ayoub Mohamed Mahmoud ameahidi kutekeleza mkakati wa maendeleo wenye nguzo nne kuu endapo atachaguliwa Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 19, 2025, katika Jimbo la Chaani uliofanyika Bandamaji, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ayoub amesema nguzo hizo ni kuimarisha usalama wa chakula, kuongeza…