Sababu Mkurugenzi halmashauri kutupwa jela miaka 20
Moshi/Simanjiro. Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunza amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka. Gunza amehukumiwa adhabu hiyo Septemba 18, 2025 na Hakimu Mkuu Mkazi, Charles Uiso wa Mahakama ya Wilaya Simanjiro, ambaye amesema Jamhuri imethibitisha mashtaka dhidi yake pasipo kuacha shaka yoyote….