JUBILEE INSURANCE YAWAPATIA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MERU-ARUSHA BIMA YA AFYA BURE

 Na Mwandishi Wetu,Arusha. Jubilee Insurance kupitia kampuni zake za Bima ya Afya na Maisha imezindua mpango wakusaidia jamii kwa kuwapatia wanafunzi 10 wa Shule ya Msingi Meru, Arusha, bima ya afya.  Hatua hii inalenga kusaidia familia na watotokupata huduma bora za afya na kuendeleakuimarisha ustawi wa jamii. Kwa kutoa bima hizo  Jubilee Insurance inalenga kuhakikisha…

Read More

Kinachosubiriwa Samia, Dk Nchimbi wakiunguruma Ruvuma

Songea. Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) zitahamia mkoani Ruvuma ambako mgombea urais, Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza, Dk Emmanuel Nchimbi watafanya mikutano kwa siku tatu tatu. Samia na Dk Nchimbi wanakutana tena katika mkoa mmoja tangu walipozindua kampeni za chama hicho kitaifa, Agosti 28, 2025 kwenye Uwanja…

Read More

TISEZA na TCB kushirikiana kurahisisha huduma kwa wawekezaji

Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority – TISEZA), Gilead Teri na Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB, Adam Mihayo wakibadilishana mikataba mara baada ya kusaini jijini Dar es Salaam  Septemba 18, 2025. Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi…

Read More

TBS YAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amezindua maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na kuliagiza shirika hilo kutumia maadhimisho hayo kama fursa ya kutangaza huduma zao. Uzinduzi huo umefanyika Septemba 18,2025 katika ofisi za TBS zilizopo Ubungo Jijini Dar es Salaam ambapo Dkt. Abdallah amesema shirika hilo…

Read More

MADEREVA WA MAGARI WAELIMISHWA KUHUSU USALAMA WA BARABARANI

Na Albert Kawogo MADEREVA wanaotumia barabara ya Bagamoyo kuelekea mikoa ya kaskazini ya Tanzania wametakiwa kuwa makini katika kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu Akizungumza katika zoezi maalum la ukaguzi wa magari na utoaji wa elimu kwa madereva wa magari yote yanayopitia njia ya Bagamoyo Mkuu…

Read More