Maajabu ya kupiga mluzi kiafya
Dar es Salaam. Mara nyingi kupiga mluzi huchukuliwa kama ishara ya mtu kuchoka, kutojali au hata burudani ya muda. Hata hivyo, wataalamu wa afya wanasema tendo hili lina faida nyingi kwa mwili wa binadamu, hususani katika kuboresha mfumo wa upumuaji, kuimarisha mzunguko wa damu na kuongeza ustawi wa akili. Kwa mujibu wa wataalamu, kupiga mluzi…