Tunachoweza kujifunza kutoka Maonesho ya Kimataifa ya Biashara

Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya China, maarufu kama Canton Fair, yamepata umaarufu mkubwa duniani. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1957, upangaji, uratibu na usimamizi wake vimeyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa wafanyabiashara, maonesho hayo kwa sasa ni kitovu cha biashara kwa maelfu ya wafanyabiashara kutoka nchi 150 duniani wanaofika kununua na kuuza bidhaa. Katika sifa kubwa…

Read More

MAWAKILI WA SERIKALI WATAKIWA KUENDELEA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA HIFADHI YA JAMII

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewataka Mawakili wa Serikali kuyatumia mafunzo yanayotolewa kuhusu Hifadhi ya Jamii, katika kuhakikisha kuwa Sheria na Kanuni za Hifadhi ya Jamii zinalinda na kusimamia haki na maslahi ya Wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kuhusu…

Read More

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe adaiwa kuuawa kwa kuchomwa moto, Polisi yaanza uchunguzi

Mbeya. Wakati taharuki ikitanda jijini Mbeya kuhusu kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Mzumbe ndaki ya Mbeya, Shairose Mabula anayedaiwa kuawa  kwa kuchomwa moto na wasiojulikana, Jeshi la Polisi mkoani humo limesema linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo.  Taarifa ya tukio la kuuawa kwa mwanafunzi huyo zilianza kusambaa leo Alhamisi…

Read More

WATU 9 WAFARIKI DUNIA AJALINI DODOMA

…….. Na Ester Maile, Dodoma  Watu tisa wamefariki Dunia mapema Leo asubuhi katika kijiji cha Kambi ya Nyasa wilaya ya Chemba mkoa.wa Dodoma. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ROSEMARY SENYAMULE amesema watu watano akiwemo dereva wa basi walifariki hapo hapo na wengine wanne wamefariki baada ya kufikishwa hospitalini.  

Read More

DOTTO NDUMBIKWA AAHIDI KUCHANGIA MADAWATI 50, MAGODORO 20 NA MBAO SHULE YA MSINGI MAZINYUNGU.

Farida Mangube, Kilosa MDAU wa Maendeleo Wilayani Kilosa Ndugu Dotto Ndumbikwa ameahidi kuchangia Madawati Hamsini (50), Magodoro Ishirini (20), Pamoja na Mbao katika Ujenzi wa Shule ya Msingi Mazinyungu Wilayani Kilosa. Ndugu Dotto ametoa ahadi hiyo wakati akijibu Risala ya Wanafunzi iliyoelezea baadhi ya Changamoto Shuleni hapo katika Mahafali ya kumaliza Elimu ya Msingi kwa…

Read More