Tanzania yapiga hatua kupitia Dira 2025, wadau wasisitiza kilimo cha umwagiliaji kuelekea Dira 2050
Wadau wa maendeleo, wasomi na wataalamu kutoka sekta binafsi na umma wamepongeza hatua kubwa zilizopatikana kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, wakibainisha kuwa licha ya changamoto za kiuchumi za kimataifa, Tanzania imeweza kudumisha misingi ya maendeleo. Hata hivyo, walionya kuwa sekta ya kilimo bado ni dhaifu kutokana na utegemezi wa mvua na…