Tume ya Haki za Binadamu, yaikumbusha Polisi kuzingatia sheria
Dar es Salaam. Mabadiliko ya ratiba za wagombea yanayojitokeza mara kwa mara, ikiwemo kampeni za ghafla zinazofanyika nyumba kwa nyumba, yameelezwa kuwa changamoto kwa Jeshi la Polisi katika kutekeleza jukumu la kutoa ulinzi wa karibu kwa wagombea na wananchi. Kauli ya Polisi imekuja wakati ambapo baadhi ya wagombea wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba za…