Dk Chaya aahidi maboresho ya miundombinu akizisaka kura

Dodoma. Mgombea ubunge wa Jimbo la Manyoni, Dk Pius Chaya (CCM) amewaahidi wananchi endapo atachaguliwa kwa mara nyingine, anakwenda kuongeza kasi ya kufungua barabara jimboni humo. Dk Chaya alitoa ahadi hiyo jana Jumatano Septemba 17,2025 katika vijiji vya Kata ya Isseke wilayani Manyoni. Mgombea huyo ameitaja barabara ya Mangoli -Igwamadete, Iseke -Ipanduka hadi Ntumbi, Simbanguru-Mafurungu…

Read More

TARANGIRE SCHOOL YAANDIKA HISTORIA, YAFANYA MAHAFALI YA DARASA LA SABA HIFADHINI

Na Pamela Mollel,Manyara  Shule ya Tarangire Pre & Primary English Medium School (Tarangire School) imeibua ubunifu wa aina yake baada ya kufanya mahafali ya darasa la saba kwa mwaka 2025 ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, tukio ambalo halijawahi kushuhudiwa mkoani Manyara. Mahafali hayo yaliyofanyika Jumamosi, Septemba 13, 2025, yaliwaaga wanafunzi 40 walioketi mtihani…

Read More

Dkt. Mwinyi: CCM ni Mhimili wa Amani na Maendeleo

MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduz (CCM), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Wazanzibari kuendelea kukiunga mkono chama hicho akisisitiza kuwa ndicho mhimili wa amani ya Tanzania ikiwemo Zanzibar. Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo tarehe 17 Septemba 2025 katika Uwanja wa Kajengwa, Makunduchi, mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri…

Read More

Simulizi ya shuhuda aliyestiri miili ya watu watano wa familia moja waliofariki ajalini, familia yampongeza

Tanga. “Katika mazingira ya ajali nilikuta tayari watu watatu wameshafariki dunia palepale ambao ni baba, Joshua na binti mmoja na wengine wakiwa ni majeruhi ambaye ni mama, na watoto wengine ambapo wakati tukitafuta njia ya kuwasaidia yule kijana na yeye akafariki dunia na baadaye tukiwa hospitali miili mingine ikaletwa yote nilipambana kuhakikisha kila kitu kinakwenda…

Read More

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Manyara Yakabidhiwa Gari

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Mkoa wa Manyara imefanikiwa kupata gari mpya ambayo itasaidia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila sikukwa wakati. Akizungumza mara baada ya kukabidhi gari hiyo aina ya Toyota Hilux Jijini Dodoma, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo amesema kuwa uwepo wa gari hiyoutasaidia utekelezaji wa…

Read More