Upungufu wa wataalamu, vitendeakazi changaoto Wizara ya Kilimo
Unguja. Wakati Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar ikiendelea na ziara Pemba, imebaini inakabiliwa na changamoto ya wataalamu wa kilimo na vitendeakazi. Kutokana na hilo, wizara imeahidi kutafuta njia bunifu za kutumia ili kusaidiana na wataalamu na vitendeakazi vilivyopo kwa lengo la kuongeza ufanisi bila kuongeza gharama. Hayo yameelezwa leo Jumanne Desemba 9,…