DKT. SHEIN APOKEA TAARIFA YA CHUO KIKUU MZUMBE ARIDHISHWA NA KASI YA MAENDELEO
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe , Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo Septemba 4,2025 amepokea taarifa ya maendeleo ya Chuo Kikuu Mzumbe na kufurahishwa na kasi ya maendeleo iliyofikiwa na Chuo kwa takribani mwaka mmoja tangu alipopokea taarifa ya mwisho mwezi Novemba 2024. Akipokea taarifa hiyo…