Salum Mwalimu atoa ahadi kwa wachimbaji akiomba kura

Katoro. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya madini kwa kuwalinda wachimbaji wadogo, hasa vijana, dhidi ya kile alichokiita ni unyanyasaji wa kuondolewa katika maeneo yenye rasilimali kama atachaguliwa. Amesema wimbi la unyanyasaji kwa wachimbaji hao limezidi, wanafukuzwa kwa nguvu na kunyimwa haki…

Read More

Saumu Mwalimu atoa ahadi kwa wachimbaji akiomba kura

Katoro. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya madini kwa kuwalinda wachimbaji wadogo, hasa vijana, dhidi ya kile alichokiita ni unyanyasaji wa kuondolewa katika maeneo yenye rasilimali kama atachaguliwa. Amesema wimbi la unyanyasaji kwa wachimbaji hao limezidi, wanafukuzwa kwa nguvu na kunyimwa haki…

Read More

Nikiwa Rais madini ya Tanzanite yatainufaisha Manyara – Doyo

Babati. Mgombea urais kupitia chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema endapo atachaguliwa kushika nafasi hiyo, atahakikisha madini ya Tanzanite yanawanufaisha wana Manyara kuliko hivi sasa. Doyo ameyasema hayo leo Jumanne Septemba 16, 2025, alipozungumza na wananchi wa maeneo ya Bonga, Hala, Nakwa, Sigino na Singu Wilaya ya Babati mkoani Manyara. Amesema madini ya Tanzanite…

Read More

Mgombea ubunge aahidi kuondoa tatizo la maji Uyui

Tabora. Zikiwa zimepita siku chache tangu mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, kunadi sera za chama hicho mkoani Tabora, Wilaya ya Uyui nayo imezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi. Katika uzinduzi huo, mgombea wa ubunge wa Jimbo la Uyui kupitia CCM, Shaffin Sumar ameahidi kutekeleza ilani ya chama iwapo atapewa ridhaa ya kuongoza. Ametaja…

Read More