Shida walimu kutekeleza mtalaa mpya

Dodoma. Mtalaa ulioboreshwa ulioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) unaendelea kutekelezwa.  Pamoja na mambo mengine, lengo la mtalaa huu ni kuhama kutoka kumkaririsha mwanafunzi maarifa kwa minajili ya kufaulu mitihani, kwenda kwenye hatua ya kumwezesha mwanafunzi kupata mahiri zinazoweza kumsaidia kuendesha maisha yake hata baada ya masomo. …

Read More

Lissu aigomea Mahakama kuendelea na kesi, atoa masharti

‎‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameigomea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili, kwa madai ya wanachama na wafuasi wa chama hicho kufukuzwa mahakamani. Lissu ametoa madai hayo leo Jumanne Septemba 16, 2025 kabla ya kuanza  usikilizwaji wa sababu…

Read More

DKT.NCHIMBI AOMBA WANANCHI HANDENI KUICHAGUA CCM KWA KURA NYINGI ILI ISHINDE KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU.

MGOMBEA Urais mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kukipigia kura Chama hicho ili kishinde kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025. Ametoa ombi hilo alipokuwa akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumsikiliza,katika uwanja wa Kigoda leo Septemba 15, 2025 wilayani…

Read More

AZZA HILLAL AMUOMBEA KURA AHMED SALUM, DR. SAMIA

Mgombea Ubunge Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la SolwaMgombea Ubunge Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad akiomba kura kwa ajili ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahmed Salum, Madiwani wa CCM na yeye mwenyewe akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la…

Read More

Kinachomfanya Dk. Samia kuwa mgombea wa kipekee

Na Hafidh Kido KATIKA Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi sasa ni 16 baada ya mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo kuenguliwa ambapo kwa sasa vyama vilivyopo kwenye kampeni ni; CCM, NCCR-Mageuzi, CUF, CHAUMMA,TADEA, TLP, MAKINI, NLD, SAU, DP, UPDP, CCK, AAFP, UMD, UDP na NRA. Chama…

Read More

WAFANYABIASHARA 186 WAKITANZANIA WAHITIMU KATIKA MPANGO WA MAENDELEO YA USAMBAZAJI BIDHAA KUPITIA MKUTANO WA KWANZA WA BIASHARA

-Wajasiriamali wadogo na wakati (SMEs) wa Kitanzania wamehitimu kwenye Mpango wa Maendeleo ya Usambazaji bidhaa kwa kujengewa ujuzi na mitandao ya kushindana katika minyororo ya usambazaji ya kampuni, serikali na masoko ya kikanda chini ya AfCFTA. -Ushirikiano na GAIN umeleta mkondo maalum unaojikita katika kusambaza lishe, kwa kusaidia biashara za chakula na kilimo ambazo si…

Read More