Kanali Mtambi: Jukwaa la wadau Bonde la Mto Mara litatatua changamoto
Butiama. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameiagiza Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) kuanzisha jukwaa la wadau wa Bonde la Mto Mara kwa ajili ya usimamizi na uendelevu wa mto huo. Kanali Mtambi ametoa agizo hilo wilayani Butiama mkoani Mara leo, Septemba 15, 2025, kwenye hitimisho la maadhimisho ya Siku ya…