Dimwa: Si kila mtua anafaa kuwa Rais, tumpe kura Dk Mwinyi
Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amesema urais ni nafasi nyeti ambayo haiwezi kupewa kila mtu, akisisitiza wananchi kumchagua mgombea wa chama hicho, Dk Hussein Mwinyi, kwa kuwa ana maono makubwa ya kuendeleza Zanzibar. Dk Dimwa ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 15, 2025, katika Uwanja wa…