USHIRIKIANO KATI YA FCC NA WANASHERIA NI NGUZO YA UKUAJI WA UCHUMI
Tume ya Ushindani (FCC) imeeleza kuwa katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Ushindani Duniani ni fursa muhimu ya kuimarisha ushirikiano hususan kwa wanasheria.Akizungumza katika Semina ya Kampuni za Wanasheria juu ya umuhimu wa Sheria ya Ushindani kuelekea kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku Ushindani Duniani 2025 Jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa…