Mahakama itakavyomua hatima kesi ya uhaini wa Lissu leo

‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ambao utaamua hatima ya kesi hiyo. Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa leo Jumatatu, Septemba 15, 2025 na jopo la majaji watatu waliopangwa kusikiliza…

Read More

Mpina aondolewa mbio za urais, akwaa kwa Samia

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemuondoa mgombea urais kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, Luhaga Mpina kwenye mbio za urais, baada ya pingamizi lililowekwa dhidi yake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari kukubalika. Wakati huo huo, pingamizi aliloweka Mpina dhidi ya mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia…

Read More

Mpina akatwa tena kinyang’anyiro cha urais Tanzania

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeengua rasmi jina la mgombea wa urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina katika orodha ya wagombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu. Hatua hiyo imekuja baada ya INEC kukubali pingamizi lililowasilishwa na Mwanasheria…

Read More

Madhara ya mke kuwa muongeaji kupitiliza Yapa Hapa – Global Publishers

Last updated Sep 14, 2025 USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri wa kuzungumza kwelikweli hata kama waliomzunguka wote ni wanaume.  Akianza kuongea jambo lake hakubali kushindwa. Anataka aongee, asikilizwe na ikiwezekana waliomzunguka wote wawe upande wake. Haoni aibu. Hajishtukii hata…

Read More

MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA AUTAJA KIGOMA KAMA MKOA WA KIMKAKATI KIUCHUMI,BIASHARA

*Aelezea hatua kwa hatua yanayokwenda kufanyika Kigoma miaka mitano ijayo *Maelfu ya wananchi wampa Vibe la maana alipokuwa akiomba kura kuelekea Oktoba 29 Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MAELFU ya wananchi wa Mkoa wa Kigoma hasa Kigoma Mjini wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ambaye…

Read More

DK.SAMIA:WANANCHI WALIOPISHA UPANUZI UWANJA WA NDEGE KIGOMA WATALIPWA FIDIA ZAO

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema fidia kwa wananchi kwa waliopisha upanuzi wa uwanja wa ndege mkoani Kigoma watalipwa kwani Serikali ya Chama hicho haitamdhulumu mtu. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 14,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi wa Jimbo…

Read More