BABA LEVO NI HABARI NYINGINE KIGOMA, ATUMIA DAKIKA 10 KIBABE MBELE YA DK.SAMIA
*Azungumza yaliyofanywa na Rais Dk Samia Kogoma ,aitaja mifupa migumu *Asema kwa Kigoma Mjini saa tano asubuhi tu anakabidhi jimbo kwa Dk.Samia *Aomba barabara za lami katika mitaa ya Kogoma,masoko ya usiku Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma DAKIKA 10 ambazo zimetumiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando maarufu Baba Levo kuelezea matamanio…