Rais Trump Ataka NATO Kusitisha Ununuzi wa Mafuta ya Urusi – Global Publishers
Rais wa Marekani, Donald Trump Rais wa Marekani, Donald Trump, ameongeza shinikizo kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya NATO kwa kuwataka kusitisha mara moja ununuzi wa mafuta na gesi kutoka Urusi, pamoja na kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka China. Kwa mujibu wa Trump, hatua hizo ni sehemu ya mkakati…