Wanunuzi wadogo wa Tanzanite walia mfumo wa ununuzi usio rafiki
Mirerani. Madalali wadogo na wakati wa madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameiomba Serikali kutunga kanuni zitakazowawezesha kununua kila asilimia 20 ya uzalishaji wa madini hayo. Hatua hiyo itawawezesha kufanyika magulio ya madini, pindi migodi ikizalisha tofauti na sasa inavyofanyika kwa hiari. Baadhi ya madalali hao wadogo wameyasema hayo leo…