PIGABET YAWAZAWADIA WASHINDI KUPITIA KAMPENI ZA KILA WIKI
Dar es Salaam Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Pigabet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni kabambe zinazofanyika kila wiki kwa wateja nchini kote. Katika hafla ya hivi karibuni, Hemed Misonge, mhudumu kutoka Pigabet, aliungana na washindi wa promosheni hizo kwa kuwapatia zawadi nono zikiwemo: Smartphone Samsung Galaxy A26 5G kupitia…