Wastani wanawake wanne hukatwa matiti kila wiki KCMC
Moshi. Wakati takwimu zikionesha kuwa asilimia 14.4 ya wanawake nchini wanaugua saratani ya matiti, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC, imesema baadhi yao hufika wakiwa katika hatua ya tatu na nne ya ugonjwa hali ambayo inapelekea wastani wa wanawake wanne kukatwa matiti kila wiki. Hayo yamesemwa leo Jumapili Machi 8. 2026 na Ofisa…