NRA waahirisha mkutano Tanga, sababu yatajwa
Tanga. Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), kimesema kimeshindwa kufanya mkutano wake ambao ilibidi ufanyike mkoani Tanga, kwa ajili ya kumnadi mgombea wake wa nafasi ya urais. Akizungumza na Mwananchi mgombea urais kupitia NRA, Hassan Almasi ambaye ndiye katibu wa chama hicho leo Jumamosi Septemba 13, 2025 amesema wameshindwa kuendelea na mkutano wa Tanga kutokana…