Askofu Sosthenes azikana nyaraka kesi ya Askofu Sepeku
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes amezikana nyaraka za ofisi yake zilizotolewa na watangulizi wake kuhusu uamuzi wa kumzawadia shamba na nyumba Askofu mwanzilishi wa dayosisi hiyo na kanisa hilo nchini, hayati John Sepeku. Wakati watangulizi wake katika ushahidi wao na nyaraka mbalimbali zilizowasilishwa mahakamani hapo…