NEEMA 10 ADHIMU ZILIZOTEKELEZWA NA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOA WA KIGOMA
*Wananchi Kigoma kumpokea kwa heshima,kibabe na kishindo kikubwa Anaandika Mshititi Dkt.Ahmad Sovu MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)kwa nafasi ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, ambaye anaendelea na kampeni za kusaka kura na leo Septemba 13 anatarajia kuanza ziara ya mikutano ya kampeni za kuomba kura kuelekea Uchqguzi Mkuu Oktoba 25,2025. Udadisi wa Mshtiti katika mitaa na…