Uhamiaji yaja na siku 28 za kukagua vibali

Arusha. Idara ya Uhamiaji imetangaza siku 28 za ukaguzi na uhakiki wa vibali vya ukaazi na hadhi mbalimbali za kiuhamiaji kwa raia awa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana Septemba 11, 2025 na Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Paul Mselle, ukaguzi huo utafanyika kuanzia Septemba 11,…

Read More

Samia Aahidi Kuendeleza Maendeleo Tabora kwa Miaka Mitano Ijayo – Video – Global Publishers

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Manispaa ya Tabora imenufaika kwa kiwango kikubwa na miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita, huku akiahidi kuendeleza kasi hiyo katika miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa tena Oktoba 29, 2025. Akihutubia maelfu ya wananchi…

Read More

MGOMBA URAIS CCM DK.SAMIA AKOSHWA NA MAENDELEO YALIYOPATIKANA TABORA, AAHIDI MAKUBWA MIAKA MITANO IJAYO

*Aainisha utekelezaji wa Ilani iliyopita, aanika yanayokwenda kufanyika miaka mitano ijayo Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tabora MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema ameona maendeleo makubwa yaliyofikiwa katika mkoa ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na iwapo watapata ridhaa ya wananchi Serikali itafanya makubwa zaidi katika miaka mitano ijayo. Akizungumza katika mkutano…

Read More

DKT.SAMIA AAHIDI KUIREMBESHA TABORA KWA TAA ZA BARABARANI 2,500

*Aainisha utekelezaji wa Ilani iliyopita, aanika yanayokwenda kufanyika miaka mitano ijayo Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tabora MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema ameona maendeleo makubwa yaliyofikiwa katika mkoa ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na iwapo watapata ridhaa ya wananchi Serikali itafanya makubwa zaidi katika miaka mitano ijayo. Akizungumza katika mkutano…

Read More

Ngome Yazidi Kung’ara BAMMATA – Global Publishers

Timu za Ngome zinazomilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zimezidi kung’ara katika mashindano ya  Michezo mbalimbali ya Majeshi (BAMMATA) ambayo yanafanyika mjini  Zanzibar. Baadhi ya michezo ambayo inaongoza  hadi sasa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa mikono (handball), mpira wa pete…

Read More