DKT.NCHIMBI AWASILI JIJINI ARUSHA KUENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI

MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John  Nchimbi, amewasili mkoani Arusha leo Ijumaa Septemba 12,2025 na kuendelea na mikutano yake ya kampeni akitokea  Mkoa wa Katavi. Mara baada ya kuwasili jijini humo,Balozi Dkt.Nchimbi ataelekea Wilayani Longido,Jimbo la Longido  ambako atawahutubia Wananchi…

Read More

Veta Moshi yapunguza gharama kwa kutumia nishati safi

Moshi. Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) Moshi kimeanza safari ya kuachana na nishati chafu na kuelekea matumizi ya nishati safi, hatua inayolenga kupunguza gharama za uendeshaji, kulinda afya za watumiaji na kuhifadhi mazingira.  “Kwa mujibu wa waraka wa Serikali wa kuhamasisha taasisi kuachana na nishati chafu, tumeanza kutumia majiko yanayochoma kuni mbadala (briquettes) na sasa…

Read More

Wadau wataka mabadiliko ya sheria wanaojaribu kujiua

Dodoma. Wakati wataalamu wa afya ya akili na wanasheria wakishauri kufanyika marekebisho ya sheria ili wanaojaribu kujiua wapewa tiba  saikolojia, badala ya kukabiliwa na mashtaka, baadhi ya waliofikwa na kadhia hiyo wameeleza wanayopitia. Kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu mtu yeyote anayejaribu kujiua ana hatia ya kosa. Akizungumza Septemba 10, 2025 wakati wa…

Read More

Mvomero inavyonufaika kwa biashara ya kaboni

Morogoro. Kata ya Pemba wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, ni ya kupigiwa mfano katika utekelezaji wa miradi ya uhifadhi wa mazingira. Miradi hiyo inakwenda sambamba na uboreshaji wa maisha ya wananchi kupitia matumizi ya nishati safi ya kupikia na biashara ya kaboni. Miongoni mwa miradi hiyo ni ya uboreshaji misitu asilia inayotekelezwa na shirika lisilo la…

Read More

Mwongozo wa kupunguza swala ukiwa safari

Dar es Salaam. Miongoni mwa hukumu za safari ni kwamba inaruhusiwa msafiri kupunguza Sala (qasr) zenye rakaa nne ambazo ni Adhuhuri, Alasiri na Isha, kwa kuzisali rakaa mbili kila moja. Hii ndiyo ilikuwa ni Sunna na muongozo wa Mtume(Rehema na amani ziwe juu yake) ambaye hakuwahi kusali kamili (rakaa nne) katika safari zake. Riwaya zinazodai…

Read More

Kengele ya hatari afya duni kwa bodaboda

Dar es Salaam. Bonny Sagati ni kijana mwendesha bodaboda anayefanya shughuli zake maeneo ya Tegeta mkoani Dar es Salaam. Aghalabu siku yake inaanza mapema mno, kabla hata jogoo hajawika. Akiwa bado na usingizi mzito, anapiga mswaki kwa haraka, anakunjua suruali yake iliyochakaa na kuivaa pamoja na jaketi ambalo halijui lini liliona maji! Saa chache baadaye,…

Read More

Usichojua kuota, kung’oka meno ya watoto

Shinyanga. Kuota meno ni kitendo cha meno kuanza kuchomoza kutoka kwenye fizi za mtoto, na ni hatua muhimu katika ukuaji wa mtoto, ambapo umri wa uotaji hutofautiana kati ya mtoto mmoja na mwingine. Hata hivyo, kitendo hicho kwa jamii nyingi kimekuwa kikitazamwa kwa sura na imani tofauti ikiwamo hata ile potofu zenye madhara kiafya Kwa…

Read More

Mbinu za kupeperusha mawazo ya kujiua

Kila mwaka ifikapo tarehe 10 Septemba ni Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani. Siku hii imeadhimishwa siku mbili zilizopita. Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka  huu hadi sasa kuna matukio ya kujiua zaidi ya 720,000 ambapo wanaume wanaongoza mara mbili  zaidi ya wanawake. Vifo vitokanavyo na kujiua vinashika nafasi ya tatu…

Read More