Kesi mtoto wa Askofu Sepeku dhidi ya Kanisa la Anglikana kuunguruma leo
Dar es Salaam. Kesi ya Bernardo Sepeku ambaye ni mtoto wa marehemu John Sepeku aliyekuwa Askofu wa kwanza wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, inaendelea leo Ijumaa, Septemba 12, 2025 Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi. Bernardo amefungua kesi Mahakama hapo, akipinga kunyang’anywa zawadi ya kiwanja alichopewa baba yake mwaka 1978 na…